Matendo 1:14
Matendo 1:14 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Hawa wote waliungana pamoja katika maombi. Pamoja nao walikuwepo wanawake kadha, na Maria mama yake Yesu, pamoja na ndugu zake Yesu.
Shirikisha
Soma Matendo 1Matendo 1:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Hawa wote walikusanyika pamoja kusali, pamoja na wanawake kadha wa kadha, na Maria mama yake Yesu, na ndugu zake.
Shirikisha
Soma Matendo 1