3 Yohane 1:2
3 Yohane 1:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mpenzi wangu, nakutakia mafanikio mema ya kila aina; nakutakia afya njema ya mwili kama ulivyo nayo rohoni.
Shirikisha
Soma 3 Yohane 13 Yohane 1:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mpenzi naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya yako, kama vile roho yako ifanikiwavyo.
Shirikisha
Soma 3 Yohane 13 Yohane 1:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mpenzi naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya yako, kama vile roho yako ifanikiwavyo.
Shirikisha
Soma 3 Yohane 1