2 Timotheo 2:14
2 Timotheo 2:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, wakumbushe watu wako mambo haya na kuwaonya mbele ya Mungu waache ubishi juu ya maneno. Ubishi huo haufai, ila huleta tu uharibifu mkuu kwa wale wanaousikia.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 22 Timotheo 2:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Uwakumbushe mambo hayo, ukiwaonya machoni pa Mungu, wasiwe na mashindano ya maneno, ambayo hayana faida, bali huwaharibu wanaoyasikia.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 2