2 Timotheo 2:12
2 Timotheo 2:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Tukiendelea kuvumilia, tutatawala pia pamoja naye. Tukimkana, naye pia atatukana.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 22 Timotheo 2:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kama tukistahimili, tutamiliki pamoja naye; Kama tukimkana yeye, yeye naye atatukana sisi
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 2