2 Timotheo 1:14
2 Timotheo 1:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Jambo lile bora ulilokabidhiwa lilinde kwa nguvu ya Roho Mtakatifu anayeishi ndani yetu.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 12 Timotheo 1:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ilinde ile amana nzuri kwa Roho Mtakatifu akaaye ndani yetu.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 1