2 Wathesalonike 3:1
2 Wathesalonike 3:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Hatimaye, ndugu, tuombeeni ili ujumbe wa Bwana uzidi kuenea upesi na kupokelewa kwa heshima kama vile ulivyo kati yenu.
Shirikisha
Soma 2 Wathesalonike 32 Wathesalonike 3:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hatimaye, ndugu, tuombeeni, neno la Bwana liendelee, na kutukuzwa kote kama ilivyo kwenu
Shirikisha
Soma 2 Wathesalonike 3