2 Wathesalonike 1:9
2 Wathesalonike 1:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Adhabu yao itakuwa kuangamizwa milele na kutengwa mbali na utukufu wake mkuu
Shirikisha
Soma 2 Wathesalonike 12 Wathesalonike 1:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
watakaoadhibiwa kwa maangamizi ya milele, kutengwa na uso wa Bwana na utukufu wa nguvu zake
Shirikisha
Soma 2 Wathesalonike 1