2 Samueli 9:7
2 Samueli 9:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Daudi akamwambia, “Usiogope. Mimi nitakutendea wema kwa ajili ya baba yako Yonathani. Ile ardhi yote iliyokuwa ya babu yako Shauli nitakurudishia. Nawe, daima utakula mezani pangu.”
Shirikisha
Soma 2 Samueli 92 Samueli 9:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Daudi akamwambia, Usiogope, maana bila shaka nitakutendea mema; kwa ajili ya Yonathani, baba yako, nami nitakurudishia mashamba yote ya Sauli, babu yako; nawe utakula chakula mezani pangu daima.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 9