2 Samueli 8:15
2 Samueli 8:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Hivyo, Daudi akatawala juu ya Israeli yote, akahakikisha watu wake wote wanatendewa haki ipasavyo.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 82 Samueli 8:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Daudi akatawala juu ya Israeli wote; naye Daudi akawafanyia hukumu na haki watu wake wote.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 8