2 Samueli 17:2
2 Samueli 17:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
nami nitamshambulia wakati atakaokuwa amechoka, na mikono yake imekuwa dhaifu, nami nitamtia hofu; na watu wote walio pamoja naye watakimbia; nami nitampiga mfalme peke yake
Shirikisha
Soma 2 Samueli 172 Samueli 17:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitamshambulia akiwa amechoka na amevunjika moyo, nami nitamtia wasiwasi. Watu wote walio pamoja naye watakimbia. Nitampiga mfalme peke yake
Shirikisha
Soma 2 Samueli 17