2 Samueli 11:4
2 Samueli 11:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Daudi alituma wajumbe wamlete. Basi Bathsheba akaja kwa Daudi, naye Daudi akalala naye; (mwanamke huyo alikuwa ndio tu amejitakasa baada ya hedhi yake); kisha akarudi nyumbani kwake.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 112 Samueli 11:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Daudi akatuma wajumbe, akamtwaa; naye akaingia kwake; naye akalala naye; (maana yule mwanamke amekwisha kutakasika unajisi wake); kisha akarudi nyumbani kwake.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 11