2 Samueli 10:12
2 Samueli 10:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini jipe moyo! Tupigane kiume kwa ajili ya watu wetu na kwa ajili ya miji ya Mungu wetu; naye Mwenyezi-Mungu atutendee lile analoona ni jema kwake.”
Shirikisha
Soma 2 Samueli 102 Samueli 10:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Uwe hodari, tuwe na ujasiri, kwa ajili ya watu wetu, na kwa ajili ya miji ya Mungu wetu; naye BWANA afanye yaliyo mema machoni pake.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 10