2 Petro 3:9
2 Petro 3:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Bwana hakawii kutimiza yale aliyoahidi kama watu wengine wanavyofikiri kuwa atakawia. Yeye ana saburi kwa ajili yenu, maana hapendi hata mmoja wenu apotee, bali huwavuta wote wapate kutubu.
Shirikisha
Soma 2 Petro 32 Petro 3:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake, kama wengine wanavyodhani anakawia, bali huwavumilia, maana hapendi mtu yeyote apotee, bali wote wafikie toba.
Shirikisha
Soma 2 Petro 32 Petro 3:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake, kama wengine wanavyokudhani kukawia, bali huvumilia kwenu, maana hapendi mtu ye yote apotee, bali wote wafikilie toba.
Shirikisha
Soma 2 Petro 3