2 Petro 3:14
2 Petro 3:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa hiyo, wapenzi, mnapoyangojea mambo hayo, fanyeni bidii ili mwonekane mkiwa na amani, bila doa wala dosari mbele yake.
Shirikisha
Soma 2 Petro 32 Petro 3:14 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kwa sababu hii, wapenzi, kwa kuwa mnatazamia mambo haya, fanyeni bidii ili awakute katika amani, bila mawaa wala dosari.
Shirikisha
Soma 2 Petro 3