2 Petro 3:11
2 Petro 3:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Maadamu kila kitu kitaharibiwa namna hiyo, je, nyinyi mnapaswa kuwa watu wa namna gani? Mnapaswa kuishi kitakatifu na kumcha Mungu
Shirikisha
Soma 2 Petro 32 Petro 3:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, kwa kuwa vitu hivi vyote vitafumuliwa hivyo, imewapasa ninyi kuwa watu wa tabia gani katika mwenendo mtakatifu na utauwa
Shirikisha
Soma 2 Petro 3