2 Petro 2:9
2 Petro 2:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo, basi, Bwana anajua jinsi ya kuwaokoa katika majaribu watu wanaomcha Mungu, na jinsi ya kuwaweka waovu katika adhabu hadi siku ile ya hukumu
Shirikisha
Soma 2 Petro 22 Petro 2:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
basi, Bwana ajua kuwaokoa watauwa na majaribu, na kuwaweka wasio haki katika hali ya adhabu hata siku ya hukumu
Shirikisha
Soma 2 Petro 2