2 Petro 2:20
2 Petro 2:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu waliokwisha ponyoka katika upotovu wa ulimwengu kwa kupata kumjua Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo, kisha wakakubali kunaswa na kutawaliwa tena na upotovu huo, hali yao itakuwa mbaya zaidi kuliko awali.
Shirikisha
Soma 2 Petro 22 Petro 2:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana wale waliokwisha kuyakimbia machafu ya dunia kwa kumjua Bwana na Mwokozi Yesu Kristo, kama wakinaswa tena na kushindwa, hali yao ya mwisho imekuwa mbaya kuliko ile ya kwanza.
Shirikisha
Soma 2 Petro 2