2 Petro 2:19
2 Petro 2:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Huwaahidi watu wengine eti watakuwa huru, kumbe wao wenyewe ni watumwa wa upotovu – maana mtu ni mtumwa wa chochote kile kinachomtawala.
Shirikisha
Soma 2 Petro 22 Petro 2:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
wakiwaahidia uhuru, nao wenyewe ni watumwa wa uharibifu, maana mtu akishindwa na mtu huwa mtumwa wa mtu yule.
Shirikisha
Soma 2 Petro 2