2 Petro 1:3
2 Petro 1:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa uwezo wake wa kimungu, Mungu ametujalia mambo yote tunayohitaji ili tuishi maisha ya kumcha Mungu kwa kumjua yeye aliyetuita tuushiriki utukufu na wema wake yeye mwenyewe.
Shirikisha
Soma 2 Petro 12 Petro 1:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kuwa uweza wake wa Uungu umetukirimia vitu vyote vipasavyo uzima na utauwa, kwa kumjua yeye aliyetuita kwa utukufu wake na wema wake mwenyewe.
Shirikisha
Soma 2 Petro 12 Petro 1:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa kuwa uweza wake wa Uungu umetukirimia vitu vyote vipasavyo uzima na utauwa, kwa kumjua yeye aliyetuita kwa utukufu wake na wema wake mwenyewe.
Shirikisha
Soma 2 Petro 1