2 Wafalme 4:6
2 Wafalme 4:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Vilipojaa vyote, akamwambia mwanawe mmojawapo, “Niletee chombo kingine.” Mwanae akamjibu, “Vyote vimejaa!” Hapo mafuta yakakoma kutiririka.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 42 Wafalme 4:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa, vilipokwisha kujaa vile vyombo, akamwambia mwanawe, Niletee tena chombo. Akamwambia, Hakuna tena chombo. Mafuta yakakoma.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 4