2 Wafalme 4:34
2 Wafalme 4:34 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndipo akajilaza juu ya mtoto, mdomo wake juu ya mdomo wa mtoto, na macho yake juu ya macho ya mtoto na mikono yake juu ya mikono ya mtoto. Na alipokuwa amekaa hivyo, mwili wa mtoto ukaanza kupata joto.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 42 Wafalme 4:34 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akapanda juu ya kitanda, akajilaza juu ya mtoto, akaweka kinywa chake juu ya kinywa chake, na macho yake juu ya macho yake, na mikono yake juu ya mikono yake; akajinyosha juu yake; mwili wake yule mtoto ukaanza kupata moto.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 42 Wafalme 4:34 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Akapanda juu ya kitanda, akajilaza juu ya mtoto, akaweka kinywa chake juu ya kinywa chake, na macho yake juu ya macho yake, na mikono yake juu ya mikono yake; akajinyosha juu yake; mwili wake yule mtoto ukaanza kupata moto.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 4