2 Wafalme 4:1
2 Wafalme 4:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, mwanamke mmoja miongoni mwa wake za wanafunzi wa manabii akamwendea Elisha, akamwambia, “Mtumishi wako, mume wangu amefariki, na kama ujuavyo, alikuwa mcha Mungu, lakini aliyemwia fedha amekuja kuwatwaa wanangu wawili wawe watumwa wake.”
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 42 Wafalme 4:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, mwanamke mmoja miongoni mwa wake za wana wa manabii alimlilia Elisha, akasema, Mtumishi wako mume wangu amekufa; nawe unajua ya kuwa mtumishi wako alikuwa mcha BWANA; na aliyemdai amekuja ili ajitwalie wana wangu wawili kuwa watumwa.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 42 Wafalme 4:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi, mwanamke mmoja miongoni mwa wake za wana wa manabii alimlilia Elisha, akasema, Mtumishi wako mume wangu amekufa; nawe unajua ya kuwa mtumishi wako alikuwa mcha BWANA; na aliyemwia amekuja ili ajitwalie wana wangu wawili kuwa watumwa.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 4