2 Wafalme 3:17
2 Wafalme 3:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Ingawa hamtaona upepo wala mvua, bonde litajaa maji, nanyi mtakunywa, nyinyi pamoja na ng'ombe wenu na wanyama wenu.’
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 32 Wafalme 3:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kuwa BWANA asema hivi, Hamutauona upepo, wala hamtaiona mvua, ila bonde hilo litajaa maji; nanyi mtakunywa, ninyi, na ng'ombe zenu, na wanyama wenu.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 3