2 Wafalme 3:15
2 Wafalme 3:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini sasa niletee mpiga kinanda.” Wakamletea mpiga kinanda. Ikawa alipopiga kinanda, nguvu ya Mwenyezi-Mungu ikamjia Elisha
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 32 Wafalme 3:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ila sasa niletee mpiga kinanda. Ikawa, mpiga kinanda alipokipiga, mkono wa BWANA ukamjia juu yake.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 3