2 Wafalme 24:20
2 Wafalme 24:20 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ilikuwa ni kwa sababu ya hasira ya BWANA haya yote yalitokea Yerusalemu na Yuda, naye mwishoni akawaondoa mbele zake. Basi, Sedekia akaasi dhidi ya mfalme wa Babeli.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 242 Wafalme 24:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu aliwakasirikia sana watu wa Yerusalemu na Yuda, hata akawafukuza mbali naye. Sedekia alimwasi mfalme wa Babuloni.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 24