2 Wafalme 2:10
2 Wafalme 2:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Elia akajibu, “Ombi lako ni gumu, hata hivyo utakipokea kipawa changu hicho ikiwa utaniona wakati nitakapoondolewa kwako; lakini usiponiona, basi hutapewa.”
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 22 Wafalme 2:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akasema, Umeomba neno gumu; lakini, ukiniona nitakapoondolewa kwako, utalipata; la hukuniona, hulipati.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 2