2 Wafalme 19:19
2 Wafalme 19:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Sasa, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, nakusihi utuokoe makuchani mwa Senakeribu, falme zote za dunia zijue kwamba ni wewe peke yako, ee Mwenyezi-Mungu, uliye Mungu.”
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 192 Wafalme 19:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi sasa, Ee BWANA, Mungu wetu, utuokoe na mkono wake, nakusihi, ili kwamba falme zote za dunia zipate kujua ya kuwa wewe ndiwe BWANA Mungu, wewe peke yako.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 19