2 Wafalme 19:1
2 Wafalme 19:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mfalme Hezekia alipopata habari hizo, alirarua mavazi yake, akavaa gunia akaingia katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 192 Wafalme 19:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa mfalme Hezekia aliposikia hayo, alizirarua nguo zake, akajivika nguo za magunia, akaingia katika nyumba ya BWANA.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 19