2 Wafalme 18:7
2 Wafalme 18:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja naye, na alimfanya kufaulu kwa kila alilotenda. Alimwasi mfalme wa Ashuru na kukataa kumtumikia.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 182 Wafalme 18:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye BWANA akawa pamoja naye, kila alikokwenda alifanikiwa; tena alimwasi mfalme wa Ashuru, wala hakumtumikia.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 18