2 Wafalme 18:6
2 Wafalme 18:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Yeye hakumwasi Mwenyezi-Mungu wala hakuacha kumfuata, bali alishika amri za Mwenyezi-Mungu alizomwamuru Mose.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 182 Wafalme 18:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana alishikamana na BWANA, hakuacha kumfuata, bali alizishika amri zake BWANA alizomwamuru Musa.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 18