2 Wafalme 18:5
2 Wafalme 18:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Hezekia alimtegemea Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli; hakuna aliyekuwa kama yeye kati ya wafalme wa Yuda waliomfuata au waliomtangulia.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 182 Wafalme 18:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Alimtumaini BWANA, Mungu wa Israeli; hata baada yake hapakuwa na mfano wake katika wafalme wote wa Yuda, wala katika hao waliomtangulia.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 18