2 Wafalme 12:2
2 Wafalme 12:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati wa maisha yake yote alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu, kwa sababu kuhani Yehoyada alikuwa akimfundisha.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 122 Wafalme 12:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA siku zake zote Yehoyada kuhani alizomfundisha.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 12