2 Wakorintho 9:8
2 Wakorintho 9:8 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Naye Mungu aweza kuwapa kila baraka kwa wingi, ili katika mambo yote kila wakati, mwe na kila kitu mnachohitaji, ili mweze kushiriki kwa wingi katika kila kazi njema.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 92 Wakorintho 9:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu anaweza kuwapeni nyinyi zaidi ya yale mnayoyahitaji, mpate daima kuwa na kila kitu mnachohitaji, na hivyo mzidi kusaidia katika kila kazi njema.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 92 Wakorintho 9:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na Mungu aweza kuwajaza kila neema kwa wingi, ili ninyi, mkiwa na riziki za kila namna siku zote, mpate kuzidi sana katika kila tendo jema
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 9