2 Wakorintho 6:18
2 Wakorintho 6:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi nitakuwa Baba yenu, nanyi mtakuwa wanangu, waume kwa wake, asema Bwana Mwenye Nguvu.”
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 62 Wakorintho 6:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nitakuwa Baba kwenu, Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike, asema Bwana Mwenyezi.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 6