2 Wakorintho 6:12-13
2 Wakorintho 6:12-13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hamsongwi ndani yetu, bali mwasongwa katika mioyo yenu. Basi, ili mlipe kadiri ile mliyopewa (nasema nanyi kama na watoto), nanyi pia mkunjuliwe mioyo.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 62 Wakorintho 6:12-13 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama mnaona kuna kizuizi chochote kile, kizuizi hicho kiko kwenu nyinyi wenyewe, na si kwa upande wetu. Sasa nasema nanyi kama watoto wangu: Wekeni mioyo yenu wazi kama nasi tulivyofanya.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 6