2 Wakorintho 6:11-13
2 Wakorintho 6:11-13 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndugu Wakorintho, tumezungumza nanyi kwa unyofu; mioyo yetu iko wazi kabisa. Kama mnaona kuna kizuizi chochote kile, kizuizi hicho kiko kwenu nyinyi wenyewe, na si kwa upande wetu. Sasa nasema nanyi kama watoto wangu: Wekeni mioyo yenu wazi kama nasi tulivyofanya.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 62 Wakorintho 6:11-13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Vinywa vyetu vimefumbuliwa kwenu, enyi Wakorintho; mioyo yetu imekunjuliwa. Hamsongwi ndani yetu, bali mwasongwa katika mioyo yenu. Basi, ili mlipe kadiri ile mliyopewa (nasema nanyi kama na watoto), nanyi pia mkunjuliwe mioyo.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 62 Wakorintho 6:11-13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Vinywa vyetu vimefumbuliwa kwenu, enyi Wakorintho; mioyo yetu imekunjuliwa. Hamsongwi ndani yetu, bali mwasongwa katika mioyo yenu. Basi, ili mlipe kadiri ile mliyopewa (nasema nanyi kama na watoto), nanyi pia mkunjuliwe mioyo.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 6