2 Wakorintho 6:1
2 Wakorintho 6:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, tukiwa wafanyakazi pamoja na Mungu, tunawasihi msikubali ile neema mliyopokea kutoka kwa Mungu ipotee bure.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 62 Wakorintho 6:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nasi tukitenda kazi pamoja naye twawasihi msiipokee neema ya Mungu bure.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 6