2 Wakorintho 5:21
2 Wakorintho 5:21 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kwa maana Mungu alimfanya yeye asiyekuwa na dhambi kuwa dhambi kwa ajili yetu, ili sisi tupate kufanywa haki ya Mungu kwake yeye.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 52 Wakorintho 5:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Kristo hakuwa na dhambi, lakini Mungu alimfanya ahusike na dhambi kwa ajili yetu, ili sisi kwa kuungana naye, tupate kuushiriki uadilifu wake Mungu.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 52 Wakorintho 5:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yeye asiyejua dhambi alimfanya kuwa dhambi kwa ajili yetu, ili sisi tupate kuwa haki ya Mungu katika Yeye.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 5