2 Wakorintho 5:1
2 Wakorintho 5:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana twajua ya kuwa nyumba ya maskani yetu iliyo ya dunia hii ikiharibiwa, tunalo jengo litokalo kwa Mungu, nyumba isiyofanywa kwa mikono, iliyo ya milele mbinguni.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 52 Wakorintho 5:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana tunajua kwamba hema hii ambamo tunaishi sasa hapa duniani yaani mwili wetu, itakapongolewa, Mungu atatupa makao mengine mbinguni, nyumba ya milele isiyotengenezwa kwa mikono.

Soma 2 Wakorintho 52 Wakorintho 5:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana twajua ya kuwa nyumba ya maskani yetu iliyo ya dunia hii ikiharibiwa, tunalo jengo litokalo kwa Mungu, nyumba isiyofanywa kwa mikono, iliyo ya milele mbinguni.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 5