2 Wakorintho 4:6
2 Wakorintho 4:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu ambaye alisema, “Mwanga na uangaze kutoka gizani,” ndiye mwenye kuiangaza mioyo yetu, na kutupatia mwanga wa ujuzi wa utukufu wa Mungu uangazao katika uso wa Kristo.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 42 Wakorintho 4:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kuwa Mungu, aliyesema, Nuru itang'aa toka gizani, ndiye aliyeng'aa mioyoni mwetu, atupe nuru ya elimu ya utukufu wa Mungu katika uso wa Yesu Kristo.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 4