2 Wakorintho 4:3-4
2 Wakorintho 4:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana, kama Habari Njema tunayohubiri imefichika, imefichika tu kwa wale wanaopotea. Hao hawaamini kwa sababu yule mungu wa ulimwengu huu amezitia giza akili zao wasipate kuuona wazi mwanga wa Habari Njema ya utukufu wa Kristo, ambaye ni mfano kamili wa Mungu.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 42 Wakorintho 4:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini ikiwa Injili yetu imesitirika, imesitirika kwa hao wanaopotea; ambao ndani yao mungu wa dunia hii amepofusha fikira zao wasioamini, wasiione nuru ya Injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 42 Wakorintho 4:3-4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini ikiwa injili yetu imesitirika, imesitirika kwa hao wanaopotea; ambao ndani yao mungu wa dunia hii amepofusha fikira zao wasioamini, isiwazukie nuru ya injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 4