2 Wakorintho 2:14
2 Wakorintho 2:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini, shukrani kwa Mungu anayetuongoza daima katika msafara wa ushindi wa Kristo. Yeye hutufanya tuueneze ukweli wa Kristo kama harufu nzuri, kila mahali.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 22 Wakorintho 2:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ila Mungu ashukuriwe, anayetufanya tushangilie ushindi daima katika Kristo, na kuidhihirisha harufu ya kumjua yeye kila mahali kwa kazi yetu.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 2