2 Wakorintho 11:3
2 Wakorintho 11:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini nachelea; kama yule nyoka alivyomdanganya Hawa kwa hila yake, asije akawaharibu fikira zenu, mkauacha unyofu na usafi kwa Kristo.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 112 Wakorintho 11:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini naogopa kwamba, kama vile yule nyoka kwa hila zake za uongo alimdanganya Hawa, fikira zenu zaweza kupotoshwa, mkauacha uaminifu wenu wa kweli kwa Kristo.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 11