2 Wakorintho 10:4
2 Wakorintho 10:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana, silaha tunazotumia katika vita vyetu si silaha za kidunia, ila ni nguvu ya Mungu yenye kuharibu ngome zote. Tunaharibu hoja zote za uongo
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 102 Wakorintho 10:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
(maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome;)
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 10