2 Wakorintho 10:18
2 Wakorintho 10:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Anayekubaliwa si yule anayejisifu mwenyewe, bali yule anayesifiwa na Bwana.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 102 Wakorintho 10:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana mtu mwenye kukubaliwa si yeye ajisifuye, bali yeye asifiwaye na Bwana.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 10