2 Wakorintho 10:17-18
2 Wakorintho 10:17-18 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini kama yasemavyo Maandiko: “Mwenye kujivuna na ajivunie kazi ya Bwana.” Anayekubaliwa si yule anayejisifu mwenyewe, bali yule anayesifiwa na Bwana.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 102 Wakorintho 10:17-18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini, Yeye ajisifuye, na ajisifu katika Bwana. Maana mtu mwenye kukubaliwa si yeye ajisifuye, bali yeye asifiwaye na Bwana.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 10