2 Mambo ya Nyakati 7:16
2 Mambo ya Nyakati 7:16 Biblia Habari Njema (BHN)
kwa maana nimeitakasa nyumba hii ili watu waliabudu jina langu hapa milele. Nitailinda na kuipenda daima.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 72 Mambo ya Nyakati 7:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana sasa nimeichagua nyumba hii na kuitakasa, ili kwamba jina langu lipate kuwako huko milele; yatakuwako na macho yangu, na moyo wangu daima.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 7