2 Mambo ya Nyakati 7:12
2 Mambo ya Nyakati 7:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Mwenyezi-Mungu alimtokea usiku, akamwambia, “Nimesikia sala yako na nimepachagua mahali hapa pawe nyumba yangu ya kunitolea tambiko.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 72 Mambo ya Nyakati 7:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamtokea Sulemani usiku, akamwambia, Nimesikia uliyoyaomba, na mahali hapa nimejichagulia kuwa nyumba ya dhabihu.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 7