2 Mambo ya Nyakati 3:1
2 Mambo ya Nyakati 3:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Solomoni alianza kujenga nyumba ya Mwenyezi-Mungu katika Yerusalemu juu ya mlima Moria ambapo Mwenyezi-Mungu alimtokea Daudi baba yake, mahali ambapo Daudi alikuwa amepachagua, kwenye kiwanja cha kupuria cha Ornani Myebusi.
2 Mambo ya Nyakati 3:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo Sulemani akaanza kuijenga nyumba ya BWANA huko Yerusalemu, juu ya mlima Moria, pale BWANA alipomtokea Daudi babaye alipotengeza mahali pale alipoagiza Daudi, katika kiwanja cha kupuria cha Arauna Myebusi.
2 Mambo ya Nyakati 3:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ndipo Sulemani akaanza kuijenga nyumba ya BWANA huko Yerusalemu, juu ya mlima Moria, pale BWANA alipomtokea Daudi babaye alipotengeza mahali pale alipoagiza Daudi, katika kiwanja cha kupuria cha Arauna Myebusi.
2 Mambo ya Nyakati 3:1 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ndipo Solomoni akaanza kujenga Hekalu la BWANA katika Yerusalemu juu ya Mlima Moria, pale ambapo BWANA alikuwa amemtokea Daudi baba yake. Ilikuwa katika kiwanja cha kupuria cha Arauna, Myebusi, mahali palipotolewa na Daudi.