2 Mambo ya Nyakati 20:16
2 Mambo ya Nyakati 20:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Kesho washambulieni wakati watakapokuwa wakipanda Bonde la Sisi. Mtawakuta mwisho wa bonde, mashariki mwa jangwa la Yerueli.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 202 Mambo ya Nyakati 20:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kesho shukeni juu yao; tazameni, wanakwea kwa kupandia Sisi; nanyi mtawapata penye mwisho wa bonde, mbele ya jangwa la Yerueli.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 20